
Afisa Uendeshaji kutoka Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Victoria Paul Burra, akitoa maelezao kwa mmoja wa washiriki wa Mkutano wa Pili wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa Nchi za Afrika (AAAG) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) jijini Arusha na kudhaminiwa na UTT AMIS.

Afisa Uendeshaji wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Nyakimura Elias Muhoji, akitoa maelezo ya huduma mbalimbali wanazotoa kwa mmoja wa washiriki wa Mkutano wa Pili wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa Nchi za Afrika (AAAG) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) jijini Arusha na kudhaminiwa na UTT AMIS.

Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati akifunga Mkutano wa Pili wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa Nchi za Afrika (AAAG) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) ambapo alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan