Skip to content

HABARI MSETO

Kwa Habari za Haraka na Uhakika kutoka vyanzo vyenye kuaminika.

  • facebook
  • instagram
  • youtube
  • HABARI KUU
  • SIASA
  • MICHEZO NA BURUDANI
  • BIASHARA
  • TEKNOLOJIA
  • AFYA
  • ELIMU
  • KIMATAIFA
  • WASILIANA NASI
Subscribe

Category: MICHEZO NA BURUDANI

  • Home
  • MICHEZO NA BURUDANI
Rais Dk. Mwinyi Mgeni Maalum Simba vs Berkane, ailipia gharama za uwanja
  • Habari
  • MICHEZO NA BURUDANI

Rais Dk. Mwinyi Mgeni Maalum Simba vs Berkane, ailipia gharama za uwanja

  • Francis Dande
  • May 22, 2025
  • 0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekubali kuwa Mgeni Maalum wa Fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho […]

Rasmi; Simba yaikubalia CAF fainali vs Berkane kupigwa Amaani Zanzibar
  • Habari
  • MICHEZO NA BURUDANI

Rasmi; Simba yaikubalia CAF fainali vs Berkane kupigwa Amaani Zanzibar

  • Francis Dande
  • May 19, 2025
  • 0

UONGOZI wa Wekundu wa Msimbazi Simba SC, umetangaza rasmi kushindwa kwao kulishawishi Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kubadili uamuzi wa kuipeleka Zanzibar fainali ya pili […]

Rahel Pallangyo achaguliwa Makamu wa pili wa Rais TAFF
  • Habari
  • MICHEZO NA BURUDANI

Rahel Pallangyo achaguliwa Makamu wa pili wa Rais TAFF

  • Francis Dande
  • May 18, 2025
  • 0

Na Mwandishi Wetu RAHEL Pallangyo mwandishi wa michezo wa HabariLEO amechaguliwa kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu kwa watu […]

  • Habari
  • MICHEZO NA BURUDANI

Yanga yatangulia fainali CRDB FA Cup, JKT Tanzania hoi

  • Francis Dande
  • May 18, 2025
  • 0

MABINGWA Watetezi wa Kombe la Shirikisho la Tanzania (CRDB Bank Federation Cup), wametinga fainali ya michuano hiyo baada ya kuwazabua ‘Maafande wa Jeshi la Kujenga […]

Wauaji wa Kusini wafia KMC Complex, Yanga ikianikiza ‘Hatuchezi ng’o’
  • Habari
  • MICHEZO NA BURUDANI

Wauaji wa Kusini wafia KMC Complex, Yanga ikianikiza ‘Hatuchezi ng’o’

  • Francis Dande
  • May 13, 2025
  • 0

WAUAJI wa Kusini Namungo FC, wamefia kwenye dimba la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ‘KMC Complex’ walikokubali kipigo cha mabao 3-0 walipoalikwa na vinara wasiokamatika’ […]

GSM, Yanga zasaidia Mil. 50/- Matibabu ya Watoto wanaotibiwa JKCI
  • Habari
  • MICHEZO NA BURUDANI

GSM, Yanga zasaidia Mil. 50/- Matibabu ya Watoto wanaotibiwa JKCI

  • Francis Dande
  • May 12, 2025
  • 0

UONGOZI wa Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na Taasisi ya GSM Foundation, leo Jumatatu Mei 12, wamekabidhi hundi ya mchango wa Shilingi Milioni 50 kwa […]

Serikali yafafanua madai ya Mtanzania Mashindano ya Dunia ya Taekwondo
  • Habari
  • MICHEZO NA BURUDANI

Serikali yafafanua madai ya Mtanzania Mashindano ya Dunia ya Taekwondo

  • Francis Dande
  • May 11, 2025
  • 0

MSEMAJI Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, ameyatolea ufafanuzi madai ya Mwakilishi wa Tanzania wa Mashindano ya Dunia ya Watoto kwa mchezo wa Taekwondo […]

Simba: Mkicheza, msipocheza, pointi zetu za kukaa kileleni mnazo nyie
  • Habari
  • MICHEZO NA BURUDANI

Simba: Mkicheza, msipocheza, pointi zetu za kukaa kileleni mnazo nyie

  • Francis Dande
  • May 8, 2025
  • 0

‘WEKUNDU wa Msimbazi’ Simba SC wameendelea kutakata katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara (NBC PL 2024/25), baada ya leo jioni kuwaadhibu ‘Walima Pamba’ wa […]

UCHAGUZI MKUU RIADHA TANZANIA SASA JUNI
  • Habari
  • MICHEZO NA BURUDANI

UCHAGUZI MKUU RIADHA TANZANIA SASA JUNI

  • Francis Dande
  • May 6, 2025
  • 0

NA TULLO CHAMBO, RT UCHAGUZI Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), unatarajiwa kufanyika Juni mwaka ahuu.Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Katibu Katibu Mkuu […]

‘Kariakoo Derby’ sasa kupigwa Juni 15, Yanga SC yasisitiza kutocheza
  • Habari
  • MICHEZO NA BURUDANI

‘Kariakoo Derby’ sasa kupigwa Juni 15, Yanga SC yasisitiza kutocheza

  • Francis Dande
  • May 6, 2025
  • 0

WAKATI Uongozi wa Yanga ukisisitiza kutocheza mechi namba 184 dhidi ya Watani wao wa Jadi Simba SC, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi ya […]

Posts navigation

Older posts
Copyright © 2025 HABARI MSETO Theme: Updated News By Adore Themes.
Sera za faragha Sheria ya huduma Kuhusu sisi Wasiliana nasi

© 2024 HABARIMSETO. Designed by MWINYIMKUU.