Skip to content

HABARI MSETO

Kwa Habari za Haraka na Uhakika kutoka vyanzo vyenye kuaminika.

  • facebook
  • instagram
  • youtube
  • HABARI KUU
  • SIASA
  • MICHEZO NA BURUDANI
  • BIASHARA
  • TEKNOLOJIA
  • AFYA
  • ELIMU
  • KIMATAIFA
  • WASILIANA NASI
Subscribe

Category: Habari

  • Home
  • Habari
Rais Dk. Mwinyi Mgeni Maalum Simba vs Berkane, ailipia gharama za uwanja
  • Habari
  • MICHEZO NA BURUDANI

Rais Dk. Mwinyi Mgeni Maalum Simba vs Berkane, ailipia gharama za uwanja

  • Francis Dande
  • May 22, 2025
  • 0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekubali kuwa Mgeni Maalum wa Fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho […]

WANAVYUO WAPEWA SOMO KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU
  • Habari
  • SIASA

WANAVYUO WAPEWA SOMO KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU

  • Francis Dande
  • May 22, 2025
  • 0

NA DENIS MLOWE, IRINGA VIJANA nchini hususani wanavyuo wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika  kudumisha amani na utulivu na kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa […]

CHADEMA, ACT Wazalendo kupoteza wanachama zaidi-Mbeto
  • Habari
  • SIASA

CHADEMA, ACT Wazalendo kupoteza wanachama zaidi-Mbeto

  • Francis Dande
  • May 22, 2025
  • 0

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Vyama vya Chadema na ACT Wazalendo vitaendelea kupoteza wanachama kutokana na vyama hivyo kukosa sera za kuwaeleza wanachama wao. Akizungumza na […]

Walimu wajengewa uwezo kufundisha Kiingereza
  • ELIMU
  • Habari

Walimu wajengewa uwezo kufundisha Kiingereza

  • Francis Dande
  • May 21, 2025
  • 0

Na Mwandishi Wetu WALIMU wa shule za msingi katika Halimashauri 23 za mikoa ya Tabora, Arusha, Iringa na Rukwa wameanza kupatiwa mafunzo kuhusu mbinu za […]

Dotto Biteko kuongoza hafla miaka 35 ya TAWLA
  • Habari
  • KIMATAIFA

Dotto Biteko kuongoza hafla miaka 35 ya TAWLA

  • Francis Dande
  • May 21, 2025
  • 0

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri Mkuu Dotto Biteko, anatarajia kuongoza wanachama wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na wadau wa Sheria kwenye kilele cha […]

NMB Foundation yawanoa Wakulima wa Zao la Kakao Kyela, Serikali yaipongeza
  • ELIMU
  • Habari

NMB Foundation yawanoa Wakulima wa Zao la Kakao Kyela, Serikali yaipongeza

  • Francis Dande
  • May 21, 2025
  • 0

NA MWANDISHI WETU, KYELA SERIKALI imeipongeza Taasisi za NMB Foundation kwa kuendesha Mafunzo kwa Wakulima wa Zao la Kakao kutoka Vyama vya Msingi vya Ushirika […]

SERIKALI YA KYERWA YAAHIDI KUPAMBANA NA WANAOHARIBU MAZINGIRA KUPITIA UCHOMAJI MKAA
  • Habari

SERIKALI YA KYERWA YAAHIDI KUPAMBANA NA WANAOHARIBU MAZINGIRA KUPITIA UCHOMAJI MKAA

  • Francis Dande
  • May 21, 2025
  • 0

Na Lydia Lugakila, Kyerwa Serikali Wilayani Kyerwa Mkoani Kagera imeongeza juhudi zake katika kutunza mazingira kwa kuwataka wale wanaojihusisha na uchomaji mkaa kuchukuliwa hatua kali […]

TET, Agha Khan Foundation wapanda miti kuotesha msitu bustani
  • Habari
  • KITAIFA

TET, Agha Khan Foundation wapanda miti kuotesha msitu bustani

  • Francis Dande
  • May 21, 2025
  • 0

Na Mwandishi Wetu TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na Agha Khan Foundation, Tanzania leo Mei 20, 2025 wamepanda miti zaidi ya 200 katika […]

WATUHUMIWA 148 WA UKATILI, DAWA ZA KULEVYA WAKAMATWA
  • Habari
  • KITAIFA

WATUHUMIWA 148 WA UKATILI, DAWA ZA KULEVYA WAKAMATWA

  • Francis Dande
  • May 21, 2025
  • 0

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kupitia operesheni iliyofanyika kuanzia mwezi Aprili mwaka huu hadi sasa limefanikiwa kuwakamata watumiwa 148 wa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji, ulawiti, […]

Rasmi; Simba yaikubalia CAF fainali vs Berkane kupigwa Amaani Zanzibar
  • Habari
  • MICHEZO NA BURUDANI

Rasmi; Simba yaikubalia CAF fainali vs Berkane kupigwa Amaani Zanzibar

  • Francis Dande
  • May 19, 2025
  • 0

UONGOZI wa Wekundu wa Msimbazi Simba SC, umetangaza rasmi kushindwa kwao kulishawishi Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kubadili uamuzi wa kuipeleka Zanzibar fainali ya pili […]

Posts navigation

Older posts
Copyright © 2025 HABARI MSETO Theme: Updated News By Adore Themes.
Sera za faragha Sheria ya huduma Kuhusu sisi Wasiliana nasi

© 2024 HABARIMSETO. Designed by MWINYIMKUU.