Uwakilishi wa Benki ya NMB ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Bi. Ruth Zaipuna umehudhuria Mkutano wa Kamisheni ya Huduma za Kijamii ya Kikristo (CSSC), mkutano […]
VICTOR MASANGU Shirika lisilokuwa la kiserikali la Organization for Community Development (OCODE) katika kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita katika kuwawezesha […]
Na Lydia Lugakila, Misenyi Kufuatia kasoro iliyotokea katika matokeo ya kidato cha pili kwa mtihani wa Taifa 2024/2025 na kusababisha shule ya Sekondari Bugandika iliyopo […]
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Kibaha mji limetoa tamko na kuazimia rasmi kwa pamoja kumpongeza Rais wa awamu ya sita […]
*Azitaka zihubiri amani, zihamasishe waumini kushiriki shughuli za kimaendeleo WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za dini nchini kuendelea kuwahamasisha waumini wake kudumisha amani na […]
Na Mwandishi Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kimesema kuwa baada ya kuhitimisha zoezi la ukaguzi wa magari ya shule(School […]
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wasimamizi wa miradi inayotekelezwa na Serikali ikiwemo ya elimu kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kwa ubora unaolingana na […]
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Rais Mstaafu […]
Afisa Mnadhimu wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP Akama Shaaban akizungumza na maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali katika ukumbi wa Polisi Vwawa Wilaya […]
JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma, amewataka mawakili wapya wa kujitegemea waliosajiliwa wakiwemo Majaji, Wasajili wa Mahakama Kuu, Mahakimu na Maofisa wengine wa […]