Skip to content

HABARI MSETO

Kwa Habari za Haraka na Uhakika kutoka vyanzo vyenye kuaminika.

  • facebook
  • instagram
  • youtube
  • HABARI KUU
  • SIASA
  • MICHEZO NA BURUDANI
  • BIASHARA
  • TEKNOLOJIA
  • AFYA
  • ELIMU
  • KIMATAIFA
  • WASILIANA NASI
Subscribe

Category: SIASA

  • Home
  • SIASA
WANAVYUO WAPEWA SOMO KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU
  • Habari
  • SIASA

WANAVYUO WAPEWA SOMO KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU

  • Francis Dande
  • May 22, 2025
  • 0

NA DENIS MLOWE, IRINGA VIJANA nchini hususani wanavyuo wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika  kudumisha amani na utulivu na kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa […]

CHADEMA, ACT Wazalendo kupoteza wanachama zaidi-Mbeto
  • Habari
  • SIASA

CHADEMA, ACT Wazalendo kupoteza wanachama zaidi-Mbeto

  • Francis Dande
  • May 22, 2025
  • 0

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Vyama vya Chadema na ACT Wazalendo vitaendelea kupoteza wanachama kutokana na vyama hivyo kukosa sera za kuwaeleza wanachama wao. Akizungumza na […]

Majimbo 12 yabadilishwa majina, 8 mapya, idadi ya Majimbo sasa 272
  • Habari
  • SIASA

Majimbo 12 yabadilishwa majina, 8 mapya, idadi ya Majimbo sasa 272

  • Francis Dande
  • May 12, 2025
  • 0

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza kubadili majina ya Majimbo ya Uchaguzi 12, ambayo yatatumika katika Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge unaotarajia […]

Rasmi; INEC yagawa Majimbo ya Mbagala, Ukonga yaanzisha Chamazi, Kivule
  • Habari
  • SIASA

Rasmi; INEC yagawa Majimbo ya Mbagala, Ukonga yaanzisha Chamazi, Kivule

  • Francis Dande
  • May 12, 2025
  • 0

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imeanzisha majimbo mapya nane nchini kote, ambapo jijini Dar es Salaam, majimbo mawili ya Chamazi na Kivule yameanzishwa […]

Mbeto: Mlichopanda ndicho mtakachovuna
  • Habari
  • SIASA

Mbeto: Mlichopanda ndicho mtakachovuna

  • Francis Dande
  • May 12, 2025
  • 0

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa CCM walichopanda kipindi wamepewa dhamana na chama na wananchi ndicho watakachovuna kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba mwaka […]

Mbeto : CCM itaheshimu na kufuata ushauri bila kuvunja Katiba, Sheria
  • Habari
  • SIASA

Mbeto : CCM itaheshimu na kufuata ushauri bila kuvunja Katiba, Sheria

  • Francis Dande
  • May 7, 2025
  • 0

Mwandishi Wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi kimesema kwa miaka yote kimepokea , kusikiliza na kutekeleza ushauri wa wazee, watu mbalimbali , viongozi wa dini na […]

KAILIMA AWATAKA WANANCHI WAJITOKEZE KUHAKIKI, KUBORESHA TAARIFA ZAO, ATEMBELEA VITUO VYA WAPIGA KURA MKOANI TABORA
  • Habari
  • SIASA

KAILIMA AWATAKA WANANCHI WAJITOKEZE KUHAKIKI, KUBORESHA TAARIFA ZAO, ATEMBELEA VITUO VYA WAPIGA KURA MKOANI TABORA

  • Francis Dande
  • May 5, 2025
  • 0

Na Mwandishi Wetu, Tabora MKURUGENZI wa Tume Huru ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima amewataka wananchi wa Mkoa wa Tabora kujitokeza kuhakiki na kuboresha taarifa zao katika […]

Tume yataka wananchi kutazama Daftari la awali vituoni na kuhakiki taarifa zao
  • Habari
  • SIASA

Tume yataka wananchi kutazama Daftari la awali vituoni na kuhakiki taarifa zao

  • Francis Dande
  • May 2, 2025
  • 0

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akitembelea na kukagua vituo vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la […]

Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino, Dodoma
  • Habari
  • SIASA

Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino, Dodoma

  • Francis Dande
  • April 29, 2025
  • 0

Picha namba 00. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani […]

CCM :Muungano wa Tanzania utalindwa kwa nguvu zote
  • Habari
  • SIASA

CCM :Muungano wa Tanzania utalindwa kwa nguvu zote

  • Francis Dande
  • April 26, 2025
  • 0

Na Mwandishi Maalum , Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema amani, usalama na utulivu wa Tanzania kwa miaka 61 , umetokana na misuli ya ulinzi […]

Posts navigation

Older posts
Copyright © 2025 HABARI MSETO Theme: Updated News By Adore Themes.
Sera za faragha Sheria ya huduma Kuhusu sisi Wasiliana nasi

© 2024 HABARIMSETO. Designed by MWINYIMKUU.