TANZIA: Sheikh Abuu Idd afariki, Rais Samia amlilia RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa Mufti […]
Miaka sitini na moja, leo tunakumbuka, Mapinduzi matakatifu, yenye historia adhimu, Unguja na Pemba, visiwa vya thamani, Walinyanyuka wananchi, kwa sauti ya ukombozi. Januari kumi […]
MAAFISA Waandikishaji kutoka Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma zinazotaraji kuanza Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Jumapili ijayo ya Januari 12 hadi 18 […]
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ilala, Yustino Mgonja (wa pili kulia) akiongoza maandamano ya amani ya askari na wanafunzi wa shule za msingi yakilenga […]