ZAIDI ya leseni 4,000 zipo katika utaratibu wa kutolewa katika maeneo manne ya Mkoa wa Kimadini Mbogwe mkoani Geita, huku wazawa na wawekezaji kutoka nje […]
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Slaa, akizungumza kuwakaribisha Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, mara baada ya kuwasili katika […]
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefanikisha uchangishaji wa shilingi milioni 950 kwa ajili ya matibabu ya watoto wapatao […]
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Usimamizi wa Mradi ya Mradi wa Urejeshwaji […]
Na Mwandishi Wetu, Tanga KUELEKEA miaka 50 ya uhai wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), uongozi wa taasisi hiyo imezindua maabara ya Kompyuta ya vifaa […]
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Stephen Wasira akilipa fedha taslim kwa Muuzaji wa Vifaa vya Chama mara baada ya kununu kofia (aliyoivaa kichwani) akielekea […]
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Kulia), na Balozi wa Japan nchini, Mhe. Yoichi Mikami, wakisaini Hati za Mkataba (Exhange Note) wa […]
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba akizungumza wakati aliposhiriki Mkutano wa Kimataifa kuhusu matumizi ya Nishati endelevu unaofanyika katika jiji la Bridgetown nchini […]
Wanafunzi na Watoto wanaolelewa katika kituo cha kulea watoto wanaotoka kwenye mazingira hatarishi wakiwa katika eneo la bustani kwa ajili ya kupata elimu juu ya […]