PAMBA JIJI YAIGONGA AZAM FC 1-0

Kikosi cha Pamba Jiji kimewashenyeta Matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC kwa kichapo cha bao (1-0) bao la Deus Kaseke dakika ya 86. Kwa kipigo hiko Azam FC wanasalia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa NBC PL nyuma ya vinara Young Africans na Simba SC huku akiwa amecheza mchezo mmoja zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *