Dkt. Nchimbi akutana na mzee Butiku

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, baada ya Balozi Nchimbi kufika ofisini kwa Mzee Butiku kwa ajili ya kumjulia hali na kutembelea taasisi hiyo inayohusika na kuendeleza urithi wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, hasa katika masuala ya amani, umoja na maendeleo ya watu, leo Ijumaa, tarehe 7 Februari 2025, jijini Dar Es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *