Vinara wa Ligi Kuu, Simba watinga Bungeni jijini Dodoma

Vinara wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara NBC PL, Simba SC leo wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma.

Simba SC wamefikisha Bungeni kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mkoani Manyara kwa ajili ya mchezo unaofuata dhidi ya Fountain Gate February 6 katika Dimba la Kwaraaa Mjini Babati.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *