Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Dunia Bw. Ajay Banga, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Januari, 2025.
Na Victor Masangu, Rufuji Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa hajaridhishwa na usimamizi na kasi ya ujenzi wa wa barabara ya Nyamwage – Utete (km 33.7) […]
Dar es Salaam, Tanzania MWENYEKITI Mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe, ameutaka uongozi mpya wa chama hicho chini ya Mwenyekiti Mteule Tundu Lisu na Makamu Mwenyekiti […]