Rais Samia awasili Jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa Treni ya SGR kutokea Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda treni ya umeme (SGR) katika Stesheni ya Dodoma wakati akielekea Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Stesheni ya Dar es Salaam wakati akitokea Mkoani Dodoma kwa usafiri wa Treni ya umeme ya (SGR) tarehe 22 Januari, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *