Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 21, 2025 amekutana na Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 21, 2025.
NA MWANDISHI WETU SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kuzindua Mfuko Maalum uliotengewa Sh. Bilioni 100 za kukopesha wasambazaji na wauzaji wa Nishati Safi ya […]
Na Andrew Chale, Dar es Salaam SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana na wadau makampuni ya waongoza watalii nchini imezundua rasmi kampeni […]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam lililopo […]