
Naibu Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mcha Hassan Mcha, akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya wafanyabiasha wa Kariakoo baaada ya ushidi wa 1-0 dhidi ya TRA kwenye Bonaza lililoandaliwa na TRA na kufanyika katika viwanja vya Jakaya Kikwete Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (Picha na Rashid Mtanda).







