Naibu Waziri Mkuu, CEO wa NMB wateta

Naibu waziri mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (kulia) akisalimiana na Afisa Mtendaji
Mkuu wa Benki wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna alipoongoza uongozi wa Benki hiyo kumtembelea ofisini
kwake jijini Dodoma.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (kulia) akiwa katika picha ya kumbukumbu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna alipoongoza uongozi wa Benki hiyo kumtembelea ofisini kwake jijini Dodoma.

Naibu waziri mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (Katikati) akizungumza na Afisa Mtendaji
Mkuu wa Benki wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna alipoongoza uongozi wa Benki hiyo kumtembelea ofisini
kwake jijini Dodoma. Kushoto ni Afisa Mkuu wa wateja wakubwa na serikali wa Benki ya NMB,
Alfred Shao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *