
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wajumbe pamoja na viongozi mbalimbaliikiwa ni siku ya pili ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 19 Januari, 2025.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassanakiwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 19 Januari, 2025.

Matukio mbalimbali wakati wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika siku ya pili kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 19 Januari, 2025.


Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wageni mbalimbali pamoja na baadhi ya viongozi wakiwa kwenye Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 19 Januari, 2025.
