
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) (wakwanza kulia) Bw. Emmanuel Tutuba, akiteta jambo na kiongozi wa Msafara wa Timu ya Wataalam wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bwana Charalambos Tsangarides (wakwanza kushoto) na Mwakilishi Mkazi wa IMF, Bw. Sebastian Acevedo, mara baada ya kikao chao na Wizara ya Fedha Jijini Dodoma.