Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *