RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYI AMEWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA JENGO LA TAALUMA NA UTAWALA LA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI BUYU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa jengo la Taaluma na Utawala la Taasisi ya Sayansi za Bahari la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, linalojengwa Buyu Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu wa Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

MUONEKANO wa Jengo la Taaluma na Utawala la Taasisi ya Sayansi za Bahari la Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, lililowekwa Jiwe la Msingi la ujenzi wake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo 5-1-2025,linalojengwa katika eneo la Buyu Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu).  

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *