

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dotto Biteko, akimkabidhi tuzo ya shukrani Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Martha Mashiku (kulia) kwa kudhamini Kongamano la 15 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi jijini Arusha.

Mamia ya maafisa Ugavi na Ununuzi wakiwa wamefurika katika banda la UTT AMIS katika ukumbi wa mikutano AICC Arusha.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dotto Biteko akiwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na Afisa Mtendaji Mkuu wa PSPTB.