Zambia washerehekea Miaka 60 ya Uhuru na miaka 100 ya Rais wa Kwaza wa Taifa hilo

Waziri Nchi Ofisi ya Rais Ikulu ya Zanzibar, Ali Sulemani Ameir (katikati), balozi wa Zambia nchini Tanzania, (wa pili kushoto) Mathews Jere wakikata keki pamoja na maofisa wengine wa ubalozi huo wakati wa hafla maalum ya kusherehekea miaka 60 ya Uhuru sambamba na miaka 100 ya Rais wa Kwanza wa Taifa hilo. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Mathews Jere.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *