Washiriki wa Kongamano watembelea vyanzo vya Jotoardhi Mbeya

Picha mbalimbali zikionesha Washiriki wa Kongamano la Kimataifa la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) wakitembelea vyanzo vya nishati ya Jotoardhi nchini.

Washiriki hao kutoka ndani na nje ya nchi wametembelea maeneo ya Ngozi na Kiejo-Mbaka mkoani Mbeya ikiwa ni sehemu ya programu za Kongamano la Siku Saba la ARGeo-C10 ambalo pia lililenga kutangaza hazina ya Jotoardhi iliyopo Tanzania ili kuvutia uwekezaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *