
Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Frank Komba, Kassim Mpanga na Nasir Salum wameteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Red Arrows (Zambia) vs TP Mazembe (DR Congo) utakaochezwa Septemba 14,2024 uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola, Zambia @CAFCLCC.