Peak Hr Solution yazindua mfumo wa Ajira Market

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara ( TNBC), Dkt Godwill Wanga (katikati) akionesha mfumo bunifu wa Employee Reference Bureau (ERB) na ajira Market ili kuleta mapinduzi usimamizi wa rasilimali watu nchini, ulioanzishwa na Peak Hr Solution. ( kulia),ni Mkurugenzi Mtendaji wa Peak Hr Solution Phillemon Kisamo. Halfa iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara ( TNBC), Dkt Godwill Wanga ( katikati), akizindua mfumo bunifu wa Employee Reference Bureau (ERB) na ajira Market ili kuleta mapinduzi usimamizi wa rasilimali watu nchini, ulioanzishwa na Peak Hr Solution. ( kulia),ni Mkurugenzi Mtendaji wa Peak Hr Solution Phillemon Kisamo. Halfa iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *