NMB yatoa elimu ya fedha kwa wastaafu jijini Dar

Meneja Mwandamizi Wateja Binafsi Benki ya NMB, Ally Ngingite, akifungua semina iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa wastaafu jijini Dar es Salaam leo Agosti 21, 2024. Kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ilala, Christina Lifiga, Afisa Mwandamizi Idara ya Mafao, Samson Nyansiri (watatu kushoto) na Meneja wa PSSSF Kanda ya Ilala, Amina Kassim.

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Seka Urio, akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wastaafu jijini Dar es Salaam.

Meneja wa PSSSF Kanda ya Ilala, Amina Kassim, akizungumza wakati wa semina hiyo.

Baadhi ya wastaaf wakiwa katika semina hiyo.

Mwakilishi kutoka Wizara ya Fedha Ofisi ndogo ya Hazina Dar es Salaam, Teresia Massawe, akizungumza na wastaafu wakati wa semina iliyoandaliwa na Benki ya NMB jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Wastaafu wakiwa katika semina.

Meneja Mahusiano Idara ya Wateja Binafsi Benki ya NMB, Edwin Benku, akitoa elimu ya fedha kwa wastaafu wa jijini Dar es Salaam.

Meneja Mahusiano Mwandamizi Idara ya Wateja Binafsi Benki ya NMB, Pendo Massawe, akitoa mada kuhusu changamoto zinazowakabili wastaafu.

Mzee Islam Ramadhan Lukwaro kutoka Ubungo akifuatilia taarifa mbalimbali zinazohusu Benki ya NMB wakati wa semina kwa wastaafu jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *